Kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata excavator ya msaada lakini ni kalipia gharama ndogo. Naomba msaada maana bei za laki 8 kwa siku sitaweza. Nataka kuchimba bwawa la samaki maeneo ya vikindu.nina mil moja. Najiuliza je mkurugenzi wa wilaya hawezi kusaidia kama tuko kikundi? Naomba mawazo yenu.