Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
Habar zenu Wadau
Baba mkwe wangu kaniagiza kuwa anahitaji kununuwa gari ya family car ana bajeti ya milion 14 tu.
Sifa za gari hiyo ni;
1) Iwe ni 4 cylinder
2) Haili mafuta mengi
3) Imara
4) Spear zake ziwe zinapatikana kiurahisi

KIMSINGI SINA ELIMU SANA YA MAGARI HIVYO NAOMBA MSAADA WENU WA MAWAZO ILI NIMPATIYE MAJIBU AWEZE KUKAMILISHA NDOTO ZAKE
 

Wanaitaga Babywalker Sometimes [emoji38] ...

Zipo nyingi na kwa Budget hiyo utapata Gari nzuri.

Engine Size Minimum to Maximum: 900-1500CC.

Wanakuja subiria....
 
ipo Toyota Noah.. ukihitaji nicheki nikupe kwa bei nzuri tu
 
Huwa siwaelewi watu wanaotaka kununua gari huku wakisema isile mafuta sana,sasa kama umeweza kununua gari la zaidi ya milioni 15 hivi laki 2 ya mafuta kwa mwezi nayo itakushinda? Mbona Pombe,Guests,kuhonga zinazidi laki 7 kwa mwezi?

kwani kuna gari hizi za japenga zinakula 1ltr kwa 1km? Nyingi zinarange 8km mpaka 17km kwa 1ltr,kama unataka mafuta yatumike kidogo nunua hybrid,hakuna gari isiyotumia mafuta au ulitaka inayotumia mchuzi wa supu(Kidding)?
 
Kwa kweli kwa sifa anazotaja zote zinaangukia kwenye Noah, hatajuta.!!!!
 
Chukua TOYOTA ALPHARD, cc2400. Ukiagiza JAPAN itakugharimu 15m-17m ila unaweza pata kwa mtu kwa 14m. Mojawapo ya magari mazuri kwa familia za huku ulimwengu wa tatu

Linafyonza lakini kimtindo
 

Rav4 kili time cc 1800 vvti model 2001 to 2005 inamfaa kabsa bila tabu
 
Chukua TOYOTA ALPHARD, cc2400. Ukiagiza JAPAN itakugharimu 15m-17m ila unaweza pata kwa mtu kwa 14m. Mojawapo ya magari mazuri kwa familia za huku ulimwengu wa tatu
Mmh! Alphard ni nzur sana but Mafuta inakula balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…