Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

Hapo wewe tafuta toyota wish siti7 cc 1800, au noah
Toyota ISIS Platana, 1.8L 1ZZ-FE engine itakufaa, ni gari nzuri sana kwa familia. Kwa vile umesema hutaki gari inayobwia mafuta, gari inayokula 1l kwa 12km sio mbaya.

La sivyo nunua IST, Starlet, Vitz etc kwa economy ya mafuta kwa asilimia kubwa sana.
 
Huwa siwaelewi watu wanaotaka kununua gari huku wakisema isile mafuta sana,sasa kama umeweza kununua gari la zaidi ya milioni 15 hivi laki 2 ya mafuta kwa mwezi nayo itakushinda? Mbona Pombe,Guests,kuhonga zinazidi laki 7 kwa mwezi? kwani kuna gari hizi za japenga zinakula 1ltr kwa 1km? Nyingi zinarange 8km mpaka 17km kwa 1ltr,kama unataka mafuta yatumike kidogo nunua hybrid,hakuna gari isiyotumia mafuta au ulitaka inayotumia mchuzi wa supu(Kidding)?
Laki 2 kwa mwezi kwa ajili ya mafuta tu! ! Aisee
 
Kama gari gani ndio inarenji hapo
900-1500
Kwa wadada,nakushauri nunua Toyota Rush kwanza ni Compact,ina 4WD na iko juu tofauti na Sedan. Ila bei yake ni kuanzia 15m/- na kuendelea! Ni VVT-i na ina cc1500.
Ila kama ni Mwanaume,chukua VW Touran ya cc 1600,haili mafuta na ina seat 7. Ni gari nzuri
 
Huwa siwaelewi watu wanaotaka kununua gari huku wakisema isile mafuta sana,sasa kama umeweza kununua gari la zaidi ya milioni 15 hivi laki 2 ya mafuta kwa mwezi nayo itakushinda? Mbona Pombe,Guests,kuhonga zinazidi laki 7 kwa mwezi? kwani kuna gari hizi za japenga zinakula 1ltr kwa 1km? Nyingi zinarange 8km mpaka 17km kwa 1ltr,kama unataka mafuta yatumike kidogo nunua hybrid,hakuna gari isiyotumia mafuta au ulitaka inayotumia mchuzi wa supu(Kidding)?
Samahani boss unatumia usafiri gani?
 
Kwa hizo cc ulizotaja huwezi kupata family car nzuri,ningekushauri uchukue zenye cc 2000-2500 hizi engine zake ukikuta ni VVTi ziko vizuri sana...
 
Kwa hizo cc ulizotaja huwezi kupata family car nzuri,ningekushauri uchukue zenye cc 2000-2500 hizi engine zake ukikuta ni VVTi ziko vizuri sana...

Mfano harrier tako la nyani bonge moja ya gari. Niliuuza kutokana tu na shuhuba zangu ila ni nzuri fuel consumption reasonable, ila ukiwa na uwezo gari kubwa zile kama prado, q7, fortuner ni.gari nzuri sana sema ndio uwezo wetu wa passo.
 
Habar zenu Wadau
Baba mkwe wangu kaniagiza kuwa anahitaji kununuwa gari ya family car ana bajeti ya milion 14 tu.
Sifa za gari hiyo ni;
1) Iwe ni 4 cylinder
2) Haili mafuta mengi
3) Imara
4) Spear zake ziwe zinapatikana kiurahisi

KIMSINGI SINA ELIMU SANA YA MAGARI HIVYO NAOMBA MSAADA WENU WA MAWAZO ILI NIMPATIYE MAJIBU AWEZE KUKAMILISHA NDOTO ZAKE
kuna Toyota wish, nadia, noah, na ipsum hizo zitakufaa sana
 
Habar zenu Wadau
Baba mkwe wangu kaniagiza kuwa anahitaji kununuwa gari ya family car ana bajeti ya milion 14 tu.
Sifa za gari hiyo ni;
1) Iwe ni 4 cylinder
2) Haili mafuta mengi
3) Imara
4) Spear zake ziwe zinapatikana kiurahisi

KIMSINGI SINA ELIMU SANA YA MAGARI HIVYO NAOMBA MSAADA WENU WA MAWAZO ILI NIMPATIYE MAJIBU AWEZE KUKAMILISHA NDOTO ZAKE
Gari yenye CV hiyo labda massey fagason (tractor)
 
Chukua TOYOTA ALPHARD, cc2400. Ukiagiza JAPAN itakugharimu 15m-17m ila unaweza pata kwa mtu kwa 14m. Mojawapo ya magari mazuri kwa familia za huku ulimwengu wa tatu
Hiyo cc utamuua na presha.
 
1539321287797.png
 
Back
Top Bottom