Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

Hapo wewe tafuta toyota wish siti7 cc 1800, au noah
Toyota ISIS Platana, 1.8L 1ZZ-FE engine itakufaa, ni gari nzuri sana kwa familia. Kwa vile umesema hutaki gari inayobwia mafuta, gari inayokula 1l kwa 12km sio mbaya.

La sivyo nunua IST, Starlet, Vitz etc kwa economy ya mafuta kwa asilimia kubwa sana.
 
Laki 2 kwa mwezi kwa ajili ya mafuta tu! ! Aisee
 
Kama gari gani ndio inarenji hapo
900-1500
Kwa wadada,nakushauri nunua Toyota Rush kwanza ni Compact,ina 4WD na iko juu tofauti na Sedan. Ila bei yake ni kuanzia 15m/- na kuendelea! Ni VVT-i na ina cc1500.
Ila kama ni Mwanaume,chukua VW Touran ya cc 1600,haili mafuta na ina seat 7. Ni gari nzuri
 
Samahani boss unatumia usafiri gani?
 
Kwa hizo cc ulizotaja huwezi kupata family car nzuri,ningekushauri uchukue zenye cc 2000-2500 hizi engine zake ukikuta ni VVTi ziko vizuri sana...
 
Kwa hizo cc ulizotaja huwezi kupata family car nzuri,ningekushauri uchukue zenye cc 2000-2500 hizi engine zake ukikuta ni VVTi ziko vizuri sana...

Mfano harrier tako la nyani bonge moja ya gari. Niliuuza kutokana tu na shuhuba zangu ila ni nzuri fuel consumption reasonable, ila ukiwa na uwezo gari kubwa zile kama prado, q7, fortuner ni.gari nzuri sana sema ndio uwezo wetu wa passo.
 
kuna Toyota wish, nadia, noah, na ipsum hizo zitakufaa sana
 
chagua kati ya toyota belta,corolla axio au allion
 
Gari yenye CV hiyo labda massey fagason (tractor)
 
Chukua TOYOTA ALPHARD, cc2400. Ukiagiza JAPAN itakugharimu 15m-17m ila unaweza pata kwa mtu kwa 14m. Mojawapo ya magari mazuri kwa familia za huku ulimwengu wa tatu
Hiyo cc utamuua na presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…