Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Punguza kiherehere unafoka sana utadhani ww ni mkamilifu! Kama huwezi kumshauri mtoa mada kaa kimya
 
Unatakiwa ufurahi zaidi ya kuumia
Kwanza unaumia nn mtu alishakuambia usiende kwake
Nahisi hujakua una umri gani kwanza
 
Watu mna mioyo me nikiona usomeki tu sijui una leta pozy za kukaliana kimya ,kupimana upendo ukija kushtuka sipooooo sha kusahau mda tu .
 
We nae mtu hataki uende kwake bado ung'ang'ana.Kwanini unalazimisha penzi dada.
 
 

Attachments

SINA CHA KUKUSHAURI ILA KAMA UNAJIJUA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA BASI WEWE NI MALAYAAAAAA HUNA TOFAUTI NA HAO BAR MAIDES 😹😹😹
 
Kumuacha umpendae si kazi rahisi hasa unapokuwa unawaza huyu ndio wa malengo yetu maishani. Kuachana ni kama vile kukata mti,unaanza matawi,mti wenyewe na mwisho unamalizia kisiki.
 
Bado hujasema.

Mwaka huu yani mpaka huseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…