Nahitaji faraja

Nahitaji faraja

Lonely heart

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
46
Reaction score
20
Kwakweli naumia sana,nahitaji ushauri wenu ili niweze kufarijika na kujirekebisha pale nilipo na makosa, NAOMBENI MNIPOKEE
 
Karibu sana,kila secta inahusika na inafanya kazi yake humu,usijali utapona maradhi yako yote,na maisha utayaona burdaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Unataka atoe Ushuhuda sio! kuwa makini utageuka Mjusi... Ukikoj
 
Kwakweli naumia sana,nahitaji ushauri wenu ili niweze kufarijika na kujirekebisha pale nilipo na makosa, NAOMBENI MNIPOKEE
Kwanza na kupokea karibu kwa mikono yote mitatu ohoo sorry miwili watatu achana nao!+la ningependa kujua nini kinakutatiza mpaka ukachukua uamuzi wakujiunga na JF hata kwa kuni PM karibu
 
Back
Top Bottom