Nahitaji flemu ya kununua Kariakoo

Nahitaji flemu ya kununua Kariakoo

Kwenye ukanda upi mkuu,wa chupi,cds, Vyombo,gown,suti,Viatu,computer, handset mobile,au ...?
 
Dharau hizi...10m kununua kweli? Hata mtaani tu palipo changamka kupata ni mbinde labda chanika uko...
 
Kununua ya kumvua mtu uendelee kulipa wewe kodi au kununua iwe yako MOJA kwa MOJA ?
 
Ingekuwa 10M unanunua fremu Kkoo basi wale wafanyabishara wote waliokodisha zile fremu zingalikwisha kuwa zao kitambo
 
Mimi ninayo. Fremu kubwa ya mlango wa mti wa mninga. Ipo Mtaa wa Msimbazi karibu na jengo la Makolo Fc.

Ongeza ongeza kidogo nikuuzie kwa bei ya kizalendo.
 
Ingekuwa 10M unanunua fremu Kkoo basi wale wafanyabishara wote waliokodisha zile fremu zingalikwisha kuwa zao kitambo
Kununua hamaanishi kumiliki, kumvua mtu 'kununua nafasi ' kisha anaendelea kulipia kodi kama kawaida.
 
Kumvua mtu sawa na inategemea na eneo

Kununua [emoji28][emoji28] nipo nimekaa pale
 
Back
Top Bottom