Unataka ya ghorofa yotee au vyumba viwili?Kama nilivyo sema ninahitaji flemu ya kununua kaliakoo ipo mil 10 hapa
Ukipata hata ya Milioni 20 naomba nijuze mkuu. Niiwahi fastaKununua
Kununua hamaanishi kumiliki, kumvua mtu 'kununua nafasi ' kisha anaendelea kulipia kodi kama kawaida.Ingekuwa 10M unanunua fremu Kkoo basi wale wafanyabishara wote waliokodisha zile fremu zingalikwisha kuwa zao kitambo
Yeye anataka kununua sio kumvua mtu, rejea maneno yake hapo juuKununua hamaanishi kumiliki, kumvua mtu 'kununua nafasi ' kisha anaendelea kulipia kodi kama kawaida.