Natafuta fremu maeneo ya Tabata, isiwe mbali na Tabata Relini au Tabata Mwanachi. Nina maana isiwe mbali na Barabara kuu ya Mandela.
- Fremu iwe Kubwa kama zile zinazoitwa 2 in 1 - (Futi 20 kwa 10) Au inayofanana.
- Liwe eneo lenyewe mzunguko mzuri au mkubwa wa watu...
Tafadhali anayefahamu Frem hiyo anijulishe kwa PM.