Nahitaji fundi ujenzi mwenye weledi na makini

Masokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
454
Reaction score
682
Helo wakuu nahitaji fundi mzuri wa ujenzi, na awe na utaalamu wa kujenga hizi nyumba za kuficha paa.

Kwa sasa nahitaji kupandisha boma kwanza, nyumba ni vyumba 2, kimoja self, jiko seble dining.

Bei ziwe nzuri, mimi ni wale wazee wa kudunduliza ila napenda kitu nzuri

Fundi akitokea maeneo ya chanika zingiziwa itakuwa jambo zuri sana, maana ndio kiwanja kilipo.

Pia nitahitaji dizaina wa ramani, arekebishe jambo katika ramani yangu, japo msingi tayari nishajenga.

Karibuni inbox na hapa ubaoni
 
Nicheki 0655173113
 
Kama bado hujapata mtu wa kurekebiaha design tuwasiliane
 
0678418272

Nicheki wasap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…