Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fuso ya tani 15?Box body tani 15
Mkuu fuso ya tani 15?Box body tani 15
Ngoja tuone mkuu, hakishindikani kituYes boss kama Naweza kupata kwa bei hiyo
Aaaah nimecheka kwa kweliMuwe mnasoma kwanza umri wa kujiunga Jf kabla ya kuanza kucomment
Mkuu unaweza elezea hizi aiseee kwa undaniFuso ya bei hiyo utakuwa unanunua matatizo, haijalishi iwe single, tandam, 17,16 or 15. As long as ni fuso, pesa hiyo hutapata Gari: budget yako iwe 35 then utapata gari nzuri:
Mkuu unaweza elezea hizi aiseee kwa undani
Utofaut kat ya single.. Tandam.. 15 16 17Uliza swali
Kwa Bei hiyo anataka fuso yenye chips mayaimkuu fuso zipo ad zile za refrgretor we unataka ip[emoji23]
15 is thé latest of the version, umeme mwingi na turbo pia, 16 kadhalika , in turbo , cabin ndo na speed Kama zote . Super powerful, 17 ni chombo ya zaman, nyingi ni kavu, cabin pana, mdogo mdogo lakin zinaishi sanaUtofaut kat ya single.. Tandam.. 15 16 17
Assnte sana mkuu... hii Tandam T15 one day ntainunua..Single ni diff moja, vile inabyokuja toka japan inaweza kubeba ton 10, tandam ni pale inapoongezwa mswaki ( sijui hata Kama unaelewa) mwingine nyuma inakuwa double diff, yaani tairi 8 nyuma, hii inaweza beba 15T, number 17 , 16 na 15 ni matoleo ya Engine , ni Kama Scania 113, 124, R420 n.k