Nahitaji gari aina ya Fuso, bajeti yangu milioni 22

Wakuu kwa atakayehitaji Fuso za mizigo bei nafuu lakini zilizo katika hali nzuri na ana bajeti ya kuanzia 30M anishtue.
Whatsapp PEKEE 0755963775 #Tanga
Mnapokea wateja wa mkopo wa kuweka installment?
 
Hivi ile axle ya mbele inayokata kona inafaida gani
 
Mnapokea wateja wa mkopo wa kuweka installment?
Hapana mkuu, maana huwa ni magari ya watu binafsi na sio kampuni. Pia wengi huuza baada ya kupata dharula za kifedha. Lakini kwa lolote isisite kunicheki tujue tunayajenga vipi
 
Wakuu Habari.

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22

Na naitaji Gari aina ya Fuso

Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara

Niko Dar es Salaam

Weka namba ya simu kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…