Kwa pesa hiyo utapata ya mkononi. Ni gari nzuri kwa matumizi ya kawaida . Kila la kheli mkuu.Wakuu, Nimejibana bana hapa kwa usawa huu, Nimetunza akiba ya mill 8 kwa ajili ya ka usafiri....na Nimevutiwa sana na premio new model
Kwanza nishaurini kuhusu ubora wa hii gari, stability yake, spare, ulaji wa mafuta pia... na je nnaweza kupata kwa bei hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika sana Watanzania Wazalendo kununua gari kwa kuangalia nambaMkuu kwa bei hiyo unapata chuma premio salama kabisa kuanzia namba C
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini asichukue D4 wakati ndio mfumo wa kisasa.Ila hakikisha engine isiwe D4