CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Wakuu, Nimejibana bana hapa kwa usawa huu, Nimetunza akiba ya mill 8 kwa ajili ya ka usafiri....na Nimevutiwa sana na premio new model
Kwanza nishaurini kuhusu ubora wa hii gari, stability yake, spare, ulaji wa mafuta pia... na je nnaweza kupata kwa bei hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nishaurini kuhusu ubora wa hii gari, stability yake, spare, ulaji wa mafuta pia... na je nnaweza kupata kwa bei hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app