Nahitaji gari dogo la kununua kwa bajeti isiyozidi milioni 6.6

Nahitaji gari dogo la kununua kwa bajeti isiyozidi milioni 6.6

Trinity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
1,828
Reaction score
3,508
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote duniani na mbinguni.

Kama kichwa cha Uzi kinavyo jieleza, nahitaji gari dogo lililotumika Kwa bajeti isiyozido ml. 6.6

Aina ya gari ninazopendelea ni Spacia, raum, runx/allex, probox/succeed, premo na ractis.

Kama unayo, nitumie dm picha zake.

Asante.!
 
1733923623451.png

Chukua chuma hicho, matengenezo madogo madogo tu. Mchawi rangi tu hapo.

Ila ukija kukagua usije na fundi wala wapambe.
 
Back
Top Bottom