wakuu kama aliye nayo yupo tuwasiliane PM Nina uhitaji mkubwa.
Umenikumbusha Stout 2200 duh.
Kuna mzee mmoja yuko pale Mwenge kijijini, opposite na ofisi za TRA, anayo hiyo stout nzuri kabisa na ameifungia ndani. Sijajua kwa nini. Iko bomba sana.
Mkuu huenda anaiuza niunganishe naye kama inawezekana mkuu
Bila shaka mkuu. Ndio nasaka namba ya mwanae, nitakurushia PM.Ok mkuu