Nahitaji gari Hilux 12R na Toyota stout 2200

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,865
Reaction score
29,608
wakuu kama aliye nayo yupo tuwasiliane PM Nina uhitaji mkubwa.
 
Mkuu naona unataka gari zote za zamani....na zote roho ya paka....toa offer yako tukuangalizie, vp kama ikipatikana body ikiwa na mushkeli.
 
wakuu bado natafuta hizi gari
 
wakuu kama aliye nayo yupo tuwasiliane PM Nina uhitaji mkubwa.

Umenikumbusha Stout 2200 duh.
Kuna mzee mmoja yuko pale Mwenge kijijini, opposite na ofisi za TRA, anayo hiyo stout nzuri kabisa na ameifungia ndani. Sijajua kwa nini. Iko bomba sana.
 
Umenikumbusha Stout 2200 duh.
Kuna mzee mmoja yuko pale Mwenge kijijini, opposite na ofisi za TRA, anayo hiyo stout nzuri kabisa na ameifungia ndani. Sijajua kwa nini. Iko bomba sana.

Mkuu huenda anaiuza niunganishe naye kama inawezekana mkuu
 
Mkuu huenda anaiuza niunganishe naye kama inawezekana mkuu

Huyu mzee sina mazoea nae kabisa, kwa hiyo siwezi kuanzisha mjadala huo. Ila ngoja nimuulize mwanae ambae nina mazoea nae, kama bado ipo.
 
Huyu mzee sina mazoea nae kabisa, kwa hiyo siwezi kuanzisha mjadala huo. Ila ngoja nimuulize mwanae ambae nina mazoea nae, kama bado ipo.

Ok mkuu
 
nmeipata 12r cheki inbox yako for more details
 
Kweli JF balaa.
Hivi wapi kwa sasa naweza kupata fundi wa VW Beetle Classic ambaye yuko competent?
Namaanisha ule mgongo wa chura wa zamaniiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…