UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Tafadhali wajuvi hapa jukwaani naomba mnichagulie gari kati ya haya Spacio new model, Wish Toyota au kama unajua gari nyingine zinazokaribiana na hizo ila zisiwe Sienta au Raum au Toyota Isis na pia kama itakupendeza uniambie kwanini umenichagulia Wish au Spacio au hiyo nyingine uliyonichagulia kwa ajili ya family ya mke na watoto wanne.