Nahitaji gari naombeni nichagulieni

Nahitaji gari naombeni nichagulieni

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,399
Reaction score
1,014
Tafadhali wajuvi hapa jukwaani naomba mnichagulie gari kati ya haya Spacio new model, Wish Toyota au kama unajua gari nyingine zinazokaribiana na hizo ila zisiwe Sienta au Raum au Toyota Isis na pia kama itakupendeza uniambie kwanini umenichagulia Wish au Spacio au hiyo nyingine uliyonichagulia kwa ajili ya family ya mke na watoto wanne.
 
tafadhali wajuvi hapa jukwaani naomba munichagulie Gari Kati ya haya SPACIO NEW MODEL,WISH TOYOTA,AU KAMA UNAJUA GARI NYINGINE ZINAZOKARIBIANA NAHIZO ILA ISIWE SIENTA AU RAUM AU TOYOTA ISIS napia Kama itakupendeza uniambie kwanini umenichagulia wish au spacio au hiyo nyingine uliyonichagulia kwa ajili ya family ya mke nawatoto wanne

Achana na hizo gari za kitoto
kamata mashine M35A2 DEUCE
Hii kitu hutojutia
 
tafadhali wajuvi hapa jukwaani naomba munichagulie Gari Kati ya haya SPACIO NEW MODEL,WISH TOYOTA,AU KAMA UNAJUA GARI NYINGINE ZINAZOKARIBIANA NAHIZO ILA ISIWE SIENTA AU RAUM AU TOYOTA ISIS napia Kama itakupendeza uniambie kwanini umenichagulia wish au spacio au hiyo nyingine uliyonichagulia kwa ajili ya family ya mke nawatoto wanne
Kachukue Ford New model
 
Kiduku Lilo
 
hizo zote disposable
 
Chukua kati ya haya mawili..
  • Ford Everest
  • Toyota Fortune
 
Yaani unataka kununua gari unataka uchaguliwe? Wewe upo sawa kweli sehemu zako zote za mwilini? Gari ni maamuzi yako kama wewe ni mwanaume.amua chukua mzigo acha upuuzi eti uchaguliwe...shauri yako mjini hapa..watakuchagua hta wewe.
 
Ngoja huyu jamaa aje Kiduku Lilo ni mtaalamu wa magari. Ingawa uliyoyataja si magari ni vyombo vya usafirii.
Chukua li spacio.
 
Back
Top Bottom