Nahitaji Gerage proper kwajili ya kupiga rangi gari yangu

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Habari zenu ndugu zangu. kwa yeyote anaejua sehem nzuri na yenye usalama mkubwa ambapo naweza acha gari yangu kwa mda mrefu kwajili ya kufanya ukarabati wa board na kupiga rangi.

Gari ni IST New Model
Location: Dar Es Salaam
Rangi: Silver
Watsapp: 0783 242247

Board ipo sawa lkn kuna sehem ndogo imeanza kuoza, inatakiwa kupigwa rangi original na kwa ufanisi mkubwa sana.

Nahitaji sehem nzuri yenye mafundi wenye weledi mkubwa.

Ahsanteni.
 
0718346486 fundi Rangi wa kimataifa

Anaitwa Elf tano. Yupo Mwananyamala.

Hutojuta kumtumia
 
0620850086 anaitwa Elly wakuaminika jamaa Yupo kurasini Ana garage yake
 
Back
Top Bottom