kila la kheri....Nop nahtaj wa kua nae katk shda na raha
Acha uongo sisi hatuli ubongo wa mtuTuna 25 ila hatujawahi kuhusiana..and we live Confortably..
Nilipokua nina umri huo niliwekeza muda mwingi kusoma Falsafa na Saikolojia..Ilipofika 21 mwaka wote nikatumia kusoma habar za Mungu na Imani zake..
Now naweza kusema I'm ready kuingia huko maana niliyotaka kuyaweka kichwani nimetimiza.
Soma kwanza ufike malengo ya kukinoa kichwa then uingie kwenye uhusiano
Mbali na pesa ke wanapenda kichwa kilichojaa madini, Ndicho pekee nilichonacho maishani
Ndio nilikuwa nataka nifungue uzi ujue kwajili yako kama wengine wanavyo fanya π sasa sijui tumalizie kule iwesiri yetu?Ww utasaka lini chombo dude
[emoji19] baadae nitarudiNdio nilikuwa nataka nifungue uzi ujue kwajili yako kama wengine wanavyo fanya [emoji41] sasa sijui tumalizie kule iwesiri yetu?
Mimi sijui ila moja ya kitu anachopenda qifi yako sana sana ni Hicho!Acha uongo sisi hatuli ubongo wa mtu
π Huu ugomvi hauwezi kuisha kwa kweli basi nimenyoosha mikono π bendera nusu mlingoti ππππ na mask navaa kabisa π·[emoji19] baadae nitarudi
Uniunge kwa lile group la tele[emoji23]
πππ Mgomvi huyu Goddess hakuna hata group mzee wangu.Kama popoz mna group nami niungeni
[emoji23]jishaue tu[emoji24] Huu ugomvi hauwezi kuisha kwa kweli basi nimenyoosha mikono [emoji119] bendera nusu mlingoti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mask navaa kabisa [emoji40]
Hahaha,,dah saw mkuu,,nmekupata furesh aseeUko chuo huna mtu unayemuelewa au kutamani kuwa nae, hata mtaani kwenu. Mi niko zangu hapa sina mpenzi wala nini, sema kuna Singida moja imeniteka sijui kama nachomoa.
Niko bize na vitu vingi, nikipata mpenzi hatoweza kuwa na attention yangu na akiwa nayo basi atatumia muda wangu kitu nisichopenda. Mi natamani niwe nae nikiwa katika muda wa shida au raha, sio muda neutral ambao ndo mara nyingi nakuwa nao.
Shukrankila la kheri....
Super Villain acha hizo mkuuWw muunge vinci kwa group acha ujinga na mm usinisahau