Nahitaji girl friend, badae aje kuwa mke, Sifa zangu
1.Handsome
2. Pombe kama kawaida ila kwa weekend
3. Sigara hapana
4.Dini Mkristo
5.Mtanashati
Nimtakaye
1.Mrembo
2. Awe romantic (sitaki wacheza mieleka mm)
3. Awe na nauli(sitaki liability mm)
4. Mrefu itapendeza zaidi
5.Asiwe bonge (sina hela ya kununua kitanda kipya )