Nahitaji girlfriend, badae aje kuwa mke

Nahitaji girlfriend, badae aje kuwa mke

Nahitaji girl friend, badae aje kuwa mke, Sifa zangu
1.Handsome
2. Pombe kama kawaida ila kwa weekend
3. Sigara hapana
4.Dini Mkristo
5.Mtanashati
Nimtakaye
1.Mrembo
2. Awe romantic (sitaki wacheza mieleka mm)
3. Awe na nauli(sitaki liability mm)
4. Mrefu itapendeza zaidi
5.Asiwe bonge (sina hela ya kununua kitanda kipya )

Ma domo zege kumbe tuko chungu nzima, jf inahusikaje sasa apo? Ila iyo namba 5 imeniuwa sana eti sina hela ya kununuwa kitanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom