Nahitaji girlfriend

Nahitaji girlfriend

taulooo

Senior Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
136
Reaction score
312
Sifa.
awe mrefu wa wastani.
rangi yoyote.
umri awe chini ya 30yrs.
asiwe mwembamba sana, awe na mwili wa kawaida tuu.
awe dar mana ndipo nilipo.

sifa zangu.
urefu wa 178cm.
rangi maji ya kunde.
nina mwili kidogo.
nina 29yrs.
nina elimu ya digrii.
nina kazi yenye mshahara wa kunitosha ya serikalini.
naishi dar.

karibu kwa yeyote mwenye sifa.
 
Sifa.
awe mrefu wa wastani.
rangi yoyote.
umri awe chini ya 30yrs.
asiwe mwembamba sana, awe na mwili wa kawaida tuu.
awe dar mana ndipo nilipo.

sifa zangu.
urefu wa 178cm.
rangi maji ya kunde.
nina mwili kidogo.
nina 29yrs.
nina elimu ya digrii.
nina kazi yenye mshahara wa kunitosha ya serikalini.
naishi dar.

karibu kwa yeyote mwenye sifa.
Wengine hatujui kuja pm
 
Back
Top Bottom