T tangazo Member Joined Aug 18, 2016 Posts 15 Reaction score 6 Dec 2, 2016 #1 Habari wadau samahan kwa usumbufu tafadhali mwenye game ya gta V ya pc tuwasiliane nashida nayo sana sharti awe anapatikana morogoro Ahsanten
Habari wadau samahan kwa usumbufu tafadhali mwenye game ya gta V ya pc tuwasiliane nashida nayo sana sharti awe anapatikana morogoro Ahsanten
marandu2010 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2010 Posts 1,201 Reaction score 446 Dec 3, 2016 #2 Ipo gta v nipo dsm
T tangazo Member Joined Aug 18, 2016 Posts 15 Reaction score 6 Dec 3, 2016 Thread starter #3 Nitaipataje marandu na kwa bei gani
marandu2010 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2010 Posts 1,201 Reaction score 446 Dec 3, 2016 #4 Nitafute kupitia 0658327429
buffaro89 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 592 Reaction score 378 Dec 3, 2016 #5 UNATAKA GEMU! MIMI NINAZO NYINGI!
wehoodie JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 1,031 Reaction score 1,013 Dec 3, 2016 #6 Dahh umenikunbusha gta vice city enzi hizo...ilikuwa noma sana hasa ukiwa na cheat sheet.
T tangazo Member Joined Aug 18, 2016 Posts 15 Reaction score 6 Dec 11, 2016 Thread starter #7 Nashukuruni wakuu nishapata