SOFTWARE Nahitaji GTA V

SOFTWARE Nahitaji GTA V

tangazo

Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
15
Reaction score
6
Habari wadau samahan kwa usumbufu tafadhali mwenye game ya gta V ya pc tuwasiliane nashida nayo sana sharti awe anapatikana morogoro

Ahsanten
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Dahh umenikunbusha gta vice city enzi hizo...ilikuwa noma sana hasa ukiwa na cheat sheet.
 
Back
Top Bottom