Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #61
Mkuu zipo Google Kaka, uta zipata kwa njia ya PDF.Pindi unasubir hardcopy ukiwa na nafasi ebu dondosha hapa hata hizo softcopy mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu zipo Google Kaka, uta zipata kwa njia ya PDF.Pindi unasubir hardcopy ukiwa na nafasi ebu dondosha hapa hata hizo softcopy mkuu.
Sometimes ni mtizamo tu, Kuna baadhi ya vitabu vime niongezea maarifa .Unakuta Mtu anasoma kitabu anasema kimembadilisha sana 😄
Oneni hi panya😃😂🤣Utapigika vibaya mno mpaka usitambulike😂
Mfano kitabu gani? Awali ulikuaje na baada ya kusoma ikawaje?Sometimes ni mtizamo tu, Kuna baadhi ya vitabu vime niongezea maarifa .
Magic of thinking big by David Schwartz.Mfano kitabu gani? Awali ulikuaje na baada ya kusoma ikawaje?
Katika vitu ambavyo siwez na hata katika maisha ya makuz toka utoton nimefanya mara 2 tuu bas ni habar hizo..mimi matumiz ya maguvu hata sijazoea kabisaa.. akili mtu mtu wangu nguvu shamba hukooooMimi hata bila ya zoezi, namuangusha huyu nusu albino Half american .
👉Tena wajiunge na mrusi wa mchongo Ivan Stepanov nawa oasua tu🤣😂😂😃
Oya izo mavitabu hujapata bado wateja ni wengi unawacheleweshaOneni hi panya😃😂🤣
Kina Intelligent businessman hao 😂Unakuta Mtu anasoma kitabu anasema kimembadilisha sana 😄
Jichanganye ujute mkuu sitakupiga ila nitakupiga kidogo, sijawai piga mtu akabak salamaMimi hata bila ya zoezi, namuangusha huyu nusu albino Half american .
👉Tena wajiunge na mrusi wa mchongo Ivan Stepanov nawa oasua tu🤣😂😂😃
Sasa ukipata unasoma halafu unarudishabau ndio inakuwajeShukrani bro, soft copy ninazo.
👉Ila napenda tu hard copy aisee.
Dooh!!! Vijana wetu nyie!. Haya bwana.Umekamilika kweli wewe?
Kwamba hata mshikaji kwenye daladala akawa anakushika makalio. Utatulia tu.
PoaaaMkuu zipo Google Kaka, uta zipata kwa njia ya PDF.
Tumsake nini 😃🤣😂🤔, hajui una miliki chuma Cha kirusi namba 47 😂Dooh!!! Vijana wetu nyie!. Haya bwana.
Si na nunua mkuu🤔🤔Sasa ukipata unasoma halafu unarudishabau ndio inakuwaje
Uki andika jina la kitabu, halafu andika PDF Zina kuja zotePoaaa
Wewe sio lazima nikupige, nakutazama kwa macho tu- lazima uzimie😃🤒Jichanganye ujute mkuu sitakupiga ila nitakupiga kidogo, sijawai piga mtu akabak salama
Nisha kumaliza hicho, kime nifundisha kuandaa foundation Bora kwa ajili ya watoto.Kina Intelligent businessman hao 😂
Nilishawishika kusoma rich dady poor dady (sijui nimepatia), niliishia page ya kwanza.
Kaka Ivan Stepanov huwa natania tu, na Wala Sina wahi kupanga kukukosea adabu🙏🙏.Katika vitu ambavyo siwez na hata katika maisha ya makuz toka utoton nimefanya mara 2 tuu bas ni habar hizo..mimi matumiz ya maguvu hata sijazoea kabisaa.. akili mtu mtu wangu nguvu shamba hukoooo
Lakin mpaka sasa hata hao watoto hunaNisha kumaliza hicho, kime nifundisha kuandaa foundation Bora kwa ajili ya watoto.
👉Ile issue wahindi na wachina Wana ifata Sana.