Nahitaji hata za kichina

Nahitaji hata za kichina

hahahhhaaaaaa hahah dah funza umenchekesha mpz acha......do u thk m BHOKE?
mmh apana swahiba mi kitu kingne kutoka pande nyngine kabisa TAFAUTI na kwa chacha mwita kakhkaaa....!!!!
ok basi tufanye iv...niamba kulila likolo la nanyungu...!!!!!!!we mwana upilik?
aya sasa cheza na iyo....

aaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!kumbe we niangusage zambi zako mwenyewe!!
 
je, wewe kisukari ukiwa unachezea hayo manyoya unapata mzuka???
hapana,mimi mzuka wangu ni mapenzi ya dhati,hata awe na kibamia,naridhika tu.Mwili unasisimka wenyewe tu,bila kujali maumbile aliyokuwa nayo. Ile uwe mrefu,basi inatosha. Kwani mimi ni mrefu. mengine sijali
 
hapana mimi mzuka wangu ni mapenzi ya dhati,hata awe na kibamia naridhika tu.Mwili unanisisimka wenyewe,bila ya kujali maumbile aliyokuwa nayo mtu.ila uwe mrefu,basi inatosha,kwani na mimi ni mrefu.

mashallahhhh!sasa unasubiri nini, njoo kwangu kisukari upate huo msisimko!urefu ndo upo hapa!
 
.........huyo ana roho ya nyani. akaombewe!!
 
Kaazi kweli. na wewe tafuta weakness yake (kitu ambacho hana) nawe umwambie unapenda hicho, hata kama siyo kweli.............. then angalia atajisikiaje
 
1. Wala usihofu mkuu,hiyo ni sanaa tu ya mapenzi ya wanawake,usipowajua watakusumbua sana ?
2.Haina shaka anakupenda ila hataki ujue kuwa kafa kaoza kwako....ndio vinakuja vijineno kama...ooh manyoya.
3.Kuiua hiyo nadhani unaijua weekness moja aliyo nayo au chochote asichokipenda sana katika mwili wake sasa taratiibuuuu tena kwa umakini mkubwa mwambie ungependa uwe na mwanamke mwenye............ukieleza kinyume na alivyo. HAPO UTAKUWA UMEPIGA IKULU.
4.Kuna uwezekano kuwa huyu jamaa alieanza nae,kama sio wewe alikuwa na hayo manyoya.....lazima atayakumbuka,hahaha
5 NI ISSUE ndogo sana,je angekwambia hujui kucheza mechi??????. Mpe penzi la uhakika utashangaa akisema'' siwapendi wenye manyoya''
 
Siamini unatafuta manyoya ya Kichina................. kwa hiyo ndani kwenu mtakuwa mna-rely kwa wachina kwa kila kitu? kesho ukiambiwa anataka kifua kipana utaenda kwa wachina nk nk nk.............................
 
du tembea uone,mi yamenikera mpaka nafikiria kutafuta dawa ya kichina ili yasiote tena.halafu wife hajaniambia chochote kuhusu hii kitu
ngoja niyaache inawezekana anafaidi kimya kimya.
 
yaani ndo kusema umenipiga chini kisukari wangu??
Ndio maana yake,sitaki na mimi baadae kutolewa mfano humu,oooh kisukari hamna kitu,ni mchungu ajabu,akaaaa siyawezi mie. Au pengine una mke wako,ndio yale yale,shetani kanipitia,mke wangu mzuri kuliko kisukari
 
hahahhhaaaaaa hahah dah funza umenchekesha mpz acha......do u thk m BHOKE?
mmh apana swahiba mi kitu kingne kutoka pande nyngine kabisa TAFAUTI na kwa chacha mwita kakhkaaa....!!!!
ok basi tufanye iv...niamba kulila likolo la nanyungu...!!!!!!!we mwana upilik?
aya sasa cheza na iyo....
mnoge yuve?
 
Sikia yapo manyonya ya kuotesha kuna paka wengi wanazurula mitaani kamata kama watatu hivi wanyofoe manyoya yao chukua superglue na uyabandike mwilini.

Kaka tumekukosea nini mpaka unataka tunyofolewe manyoya yetu?Unataka tutembee bila nguo sasa, huo utakuwa ni zaidi ya unyanyapaa.
 
hapana mimi mzuka wangu ni mapenzi ya dhati,hata awe na kibamia naridhika tu.Mwili unanisisimka wenyewe,bila ya kujali maumbile aliyokuwa nayo mtu.ila uwe mrefu,basi inatosha,kwani na mimi ni mrefu.
..Ndio wale waleee....akiwa sio mrefu je?? na mwenzio anataka manyoya wakati anajua wazi jamaa yake hana hayo manyoya nyie beijing hamueleweki kabisaaaaa!!:hand:
 
Mwanamke wangu hupenda manyoya ya kifuani na tumboni, ilhali mimi sina....! Nifanyeje?

pole kaka Konakali, ukae ukijua unamegewa na mwanamume mwenye manyoya,

mimi uwa inaniuma sana kama mko kwenye mahusiano kwa muda mrefu, mara mtu anakwambia kitu ambcho muda wote alikiona cha kawaida na anajua kabisa kuwa hakuna uwezo wa kujirekebisha,
 
mmmh ukiona hivyo ujue keshapata mtu mwenye manyoa au bwana wa kipemba nenda surrender bridge pale kuna jini manyoa litakupa bure mpaka ya kwenye ulimi

LOL!!!!! Hapo DOZI kamili!!!!!!
 
pole kaka Konakali, ukae ukijua unamegewa na mwanamume mwenye manyoya,

mimi uwa inaniuma sana kama mko kwenye mahusiano kwa muda mrefu, mara mtu anakwambia kitu ambcho muda wote alikiona cha kawaida na anajua kabisa kuwa hakuna uwezo wa kujirekebisha,
Kumbe eh!
 
Back
Top Bottom