Nahitaji heshima, thamani na tusitukanane najisikia vibaya

Shikamooni wakubwa wote humu ndani.

Siku ya kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu, ambaye ndiye boss wangu. Alinielekeza mengi, hasa kuhusu majina na picha, akanambia kuwa si vema kuweka picha na majina halisi. Lakini haikuniingia akilini kwanini nijifiche, nijibane?

Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.

Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita malaya, sijui natumia mkorogo, mara nimekaa kienyeji, lakini niwaambie ukweli mimi sijiuzi, najiamini, nahitaji thamani, nahitaji heshima. Ujinga wenu pelekeni hukooo. Lol
Ndo upewe u platinum member day 1😅😅
 
Marry Diana mie huku hakunaga watu serious wewe cheka imba furahia maisha kwanza maisha ni **** nyoko .
Wewe furahia sana maisha yako..
Iwe wapi kuna wanaokuuzi ila potezea mie naishi kwa raha sana sina shida najipoteza ufahamu.
 
Heshima haiombwi, jinsi ulivyokuja ndio anavyokupokea madam. Halafu humu ukiwa serious sana utapata tabu mno.
 
Shikamooni wakubwa wote humu ndani.

Siku ya kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu, ambaye ndiye boss wangu. Alinielekeza mengi, hasa kuhusu majina na picha, akanambia kuwa si vema kuweka picha na majina halisi. Lakini haikuniingia akilini kwanini nijifiche, nijibane?

Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.

Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita malaya, sijui natumia mkorogo, mara nimekaa kienyeji, lakini niwaambie ukweli mimi sijiuzi, najiamini, nahitaji thamani, nahitaji heshima. Ujinga wenu pelekeni hukooo. Lol
Lipia tangazo
 
Back
Top Bottom