Nahitaji hii jezi ya simba pls kwa gharama yoyote

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
IMG_8866.jpg
Pls nahitaji hii jezi wapendwa nisaidien maana vunjabei kaamua kutuvunja moyo na marangirangi yake kama upinde

Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule nje uanze kupambania kuingia ndan inasababisha mtu ukate tamaa kwenda uwanjan
 
Asee wewe kama mimi naitaka sana,,japo ninayo nyekundu yake.fredy katuvunja sana motor na kutukosea adabu
 
Ila simba ina jezi za hovyo sana! Yaani vijezi utafikiri vimetengenezwa kwa ajili ya watoto wa shule za msingi na sekondari!

Hivi mashabiki wenye maumbo makubwa na wale wenye vitambi, wakivaa jezi za aina hiyo si watajikuta matumbo yao yako nje!!
 
View attachment 2518146
Pls nahitaji hii jezi wapendwa nisaidien maana vunjabei kaamua kutuvunja moyo na marangirangi yake kama upinde

Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule nje uanze kupambania kuingia ndan inasababisha mtu ukate tamaa kwenda uwanjan
Kama una 200,000 nicheki nione naweza kukusaidia vipi.
 
Pls nahitaji hii jezi wapendwa nisaidien maana vunjabei kaamua kutuvunja moyo na marangirangi yake kama upinde

Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule nje uanze kupambania kuingia ndan inasababisha mtu ukate tamaa kwenda uwanjan
Kuna dem jana muda wa mazoezi nmemuona kaivaa full na raba nyeupe aiseee.... sikujua kama jezi hizi ni mzuri vile, na ule weupe wake vimapaja na miguu Omg....

Sijui kazitolea wapi coz walikua pair na jamaa yake kavaa tshirt pekee, ila dem ndo alikua na full
 
Back
Top Bottom