Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule nje uanze kupambania kuingia ndan inasababisha mtu ukate tamaa kwenda uwanjan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi timu zingekuwa makini zingepiga sana pesa kwenye mauzo ya jezi zake
Zilikuw fwayaaa
Bwalya kama Bwalya
Sasa utaipata wapi?Naitafuta nivae Jumamos
Ndo wayapunguze japo kiukweli vunja bei kavunja jezi.Ila simba ina jezi za hovyo sana! Yaani vijezi utafikiri vimetengenezwa kwa ajili ya watoto wa shule za msingi na sekondari...
Jezi za zamani zilikuwa viwango sana. Ila hizi za Vunja bei, kwa kweli hakuna jezi pale.Ndo wayapunguze japo kiukweli vunja bei kavunja jezi.
Kama una 200,000 nicheki nione naweza kukusaidia vipi.View attachment 2518146
Pls nahitaji hii jezi wapendwa nisaidien maana vunjabei kaamua kutuvunja moyo na marangirangi yake kama upinde
Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule nje uanze kupambania kuingia ndan inasababisha mtu ukate tamaa kwenda uwanjan
Kuna dem jana muda wa mazoezi nmemuona kaivaa full na raba nyeupe aiseee.... sikujua kama jezi hizi ni mzuri vile, na ule weupe wake vimapaja na miguu Omg....Pls nahitaji hii jezi wapendwa nisaidien maana vunjabei kaamua kutuvunja moyo na marangirangi yake kama upinde
Nb: Anayejua utaratibu wa kupata geti pass anisaidie maana inakwaza kupaki gari kule nje uanze kupambania kuingia ndan inasababisha mtu ukate tamaa kwenda uwanjan