Nahitaji hii mimea Kwa mwenye nayo Leo nahitaji

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,724
Reaction score
24,474
Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos
Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata
πŸ‘‹
 
Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos
Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata
πŸ‘‹
Hizo ni aquatic plants, tafuta wauza aquarium, jaribu huyu Marybul Tropical Fish Store (Victoria Branch)
255 714 594 879
 
Sio ya kutafut nenda wanakouza maua mbano yapo nje nje tuu
Sawa mkuu, lakini nimeenda Kwa wauzaji wa maua wa karibu sijapata.
, kama huo mmea wa anubias Nana ni ngumu kuupata Kwa wauzaji wa maua wa kawaida, maana ni aquatic plants kama alivyosema
Matawi ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…