Nahitaji home furniture

Nahitaji home furniture

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habari wakuu,

Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate!

Asanteni!
 
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo! Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate!
Asanteni!
Mawasiliano yako
 
Af naomba pia kuuliza kati ya microfibre na light leather ipi nzuri?
 
Waone madiba , contao, komba furniture cheki uko insta page zao N.b akuna quality product Kwa cheap price
 
Furniture bei nafuu ubungo maziwa barabara ya kuelekea external.
Wazuri ila kuwa tayari kwa usumbufu. Order not on time. Ila wako vzuri Kwenye kutengeneza.
I spent 6.8 milion furniture za nyumba mbili full furniture. Kitanda (king size) dinning table, sofa set, tv show case, na vitanda vya public room(mnaita chumba cha watoto.
 
Naomba mawasiliano yao
 
Back
Top Bottom