Mawasiliano yakoHabari wakuu,
Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo! Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate!
Asanteni!
Naomba mawasiliano yaoFurniture bei nafuu ubungo maziwa barabara ya kuelekea external.
Wazuri ila kuwa tayari kwa usumbufu. Order not on time. Ila wako vzuri Kwenye kutengeneza.
I spent 6.8 milion furniture za nyumba mbili full furniture. Kitanda (king size) dinning table, sofa set, tv show case, na vitanda vya public room(mnaita chumba cha watoto.