Asante, zingatia maelezo yangu mkuuView attachment 1702495
Kuna hii ndio imeingia hata usajili bado, 110m, ila ni 4 x 8
mwalamushaKwa hiyo bajet Uwe mvulivu maana kwa Tipa kupata kwa hiyo hela ni ngumu
Ndaga gwe chikolo utwa pakaja apomwalamusha
Kwa hiyo bajeti yako hatutawezana mkuuNiongeze bei gani? Nitumie picha nione
Kwa gari unayotaka ongeza 20M tufanye biashara kama huwezi basi.Mkuu wewe ndiye umeniambia niongeze hela ili tufanye biashara