incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
-
- #21
Naogopa burn ila ningekutusi kuwa wewe ni fala, kuniita dogo afu sina I dear nina cash ko mahitaj mtu mwenye uzoefu zaidi kibiashara na nimekuwa pia katika biashara miaka kadhaa. Hadi kuaminiwa kukopesheka kwa 500m mimi sio mama yako niko vzuri so nahitaji investment kubwa, usidhan kila anaekuja hapa ana Idea na ana njaa, ndio maana nikasema atakaejskia ko kama ww ni chawa wa boss sina shida na chawa maana mi pia ninao watu wanaonizunguka so endelea kuwa chawa mkuu mimi pesa ninayo hata kama sinawahi kuishika kwa pamoja ila asset zangu zimeniwezesha kupata 500m so tulia babu sihitaji masaada hapa kama unavyodhania,Una mchongo dogo??
Sisi mawinga ndo wakukufikisha kwa boss, maboss wengi sio wasomi so huwa hawapo jf, wao ni tiktok, insta na fb. Hupenda tuvideo twa vichekesho na sio hii mielezo yako hapa.
Maana ningesema nina 500m nahitaj watu wenye uzoefu zaid tuwekeze najua mawinga mngeleta vimbelembele hapa