Rwebangira and 10 others
Member
- Nov 28, 2019
- 42
- 130
pm nije na bank statement na vielelezo vya kampuni zangu? utaniaminije nina vigezo vyako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshort sikulaumu mkuu najua tatzo la wabongo ni kuwa wanafurahia post za mateso shida, na matatizo ila mtu akipost chochote wanachohisi kipo tofauti na wao basi huo ndio mwanzo wa vita yao na kutaka kum underate, mimi sijasema nahitaji mwenye pesa tushindane utajiri, wala sijassema nahitaji kushow off ndio maana post yangu imekaa kicode sijaweka kila kitu wazi sasa kinachokufanya unitukane ninini?Huyu ana sereous illnesse...anataka sifa.
Unafikiri ajui?
Unafikiri ajui kama Jamii Forum 80% wana pretend maisha humu?
Ila mtoa uzi anataka sifa za kijinga.
Full idiot
Sawa mkuu. Ninajua unachomaanisha hii ni psychological problem ya watanzania wengi, so sitakijibu endelea kuamini hivo itakusaidia sanaMfanyabishara wa M500 humu huwezi kumkuta yupo busy na kumaintain biashara zake,,humu wapi kuanzia 200 kushuka chini,waajiriwa na jobless
Shkran mkuu ila nipo mkoani na hiz exposure sio kila mtu anazoIf at all you are serious.
Nenda kwenye mikutano ya wafanyabiashara. Nenda kwenye Chambers of Commerce za sehemu mbalimbali kama Dar es salaam Chamber of Commerce. Tafuta access na watu wa CEO Roundtable, mikutano ya TIC na mikutano kama hiyo ya wafanyabiashara na wawekezaji.
Lakini pia, inawezekana unafanya logical fallacy ya proximity ya ku assume kuwa mtu mwenye hela na aliyefanya uwekezaji ndiye anaelewa zaidi hayo mambo.
Mimi nimefanya kazi na professional financial advisors ambao wengine (hususan waliokuwa wanaanza)hawakuwa na hela kubwa sana, ila walijua wapi pa kuweka hela na waliwashauri matajiri wakubwa jinsi ya kuwekeza kwenye markets.
Speaking of that, inawezekana ukahitaji msaada wa professional financial advisor akushauri jinsi ya kuwekeza, umlipe kabisa. Sijui uko wapi na kama bongo wapo, ila, kama unataka kwenda na falsafa yako wa kupata ushauri wa watu wenye uzoefu inawezekana ukahitaji kutumia pesa ili kupata pesa na kuwalipa professional financial advisors wenye uzoefu.
Mnaandikiana mikataba ya kisheria kabisa inayopitiwa na wanasheria wako, anakupa ushauri wapi pa kuwekeza, uwekeze vipi, upunguze vipi kodi kisheria, uongeze vipi faida, etc.
Pengine kupata ushauri wa mtu tu bila mikataba hivyo - mwenye uzoefu au asiye na uziefu- unaweza kualika kutapeliwa.
Cc Waterbender
Asante Kwa kuwa na kichwa chepesi Cha kuelewa....Sawa mkuu. Ninajua unachomaanisha hii ni psychological problem ya watanzania wengi, so sitakijibu endelea kuamini hivo itakusaidia sana
Mkuu ukisoma uzi wangu hakuna sehem nimeandika ninayo hiyo pesa au sina ko haya ya kusema ninayo au sina mnayaleta nyie, alafu kingine sion haja ya mjadala ikiwa mimi mwenyepost sijasema niko na pesa au sina.Kweli jamaa kakosea namna ya kueleza ila humu kuna watu mnajua kuvimba sana eti mtu anakuambia 500m ni hela ya kawaida sana ila ukimuuliza kwa mwaka anaingiza kiasi gani hajui sasa wakuu kuvimba huku jf sio mpango maana penye ukweli tuweke ukweli wengi wetu humu tuliocomment kejeli hatuna hela wala mipango ya hela na pia nina mashaka na mleta mada huenda nae anajikosha tu. Tumpe muda mtaona anayoandika mtamjua tu
Sinaga muda wa kifuatilia mtu humu na nimesema nina mashaka kwahyo huenda mashaka yangu ni kweli au si kweli....Mkuu ukisoma uzi wangu hakuna sehem nimeandika ninayo hiyo pesa au sina ko haya ya kusema ninayo au sina mnayaleta nyie, alafu kingine sion haja ya mjadala ikiwa mimi mwenyepost sijasema niko na pesa au sina.
So hapa naona mnajitekenya na kucheka wenyewe
Na hata ukipitabkatika post zangu hakuna kitu ambacho utakijua
Sasa una mashaka kweli au si kwel kuna sehem hapo imekutaka uamini kwel au si kwel??Sinaga muda wa kifuatilia mtu humu na nimesema nina mashaka kwahyo huenda mashaka yangu ni kweli au si kweli....
Hapa JF kuna matatizo kadhaa yanayojirudia karibu kila siku kwa watu wengi, matatizo haya yanaonesha udhaifu wa elimu Tanzania.Mkuu ukisoma uzi wangu hakuna sehem nimeandika ninayo hiyo pesa au sina ko haya ya kusema ninayo au sina mnayaleta nyie, alafu kingine sion haja ya mjadala ikiwa mimi mwenyepost sijasema niko na pesa au sina.
So hapa naona mnajitekenya na kucheka wenyewe
Na hata ukipitabkatika post zangu hakuna kitu ambacho utakijua
Zaidi na zaidi naona watu mnaleta makasiriko kisa 500m imetajwa Jf kwann wabongo mnataleta complications kwa vitu ambavyo hamna faida navyo? Kama hiyo pesa mtu anayo wewe haikupunguzii kitu na kama mtu hana vilevile haikupunguzii kitu ko suala la kuleta shida na makasiriko havina maana,
Mimi nimeandika nahitaji kupata exposure nyie tayari mmeshajtungia sentes duh.
Tatzo la wabongo, Wanasema watu wenye pesa hawapo JF na hawatumii social networks,Hapa JF kuna matatizo kadhaa yanayojirudia karibu kila siku kwa watu wengi, matatizo haya yanaonesha udhaifu wa elimu Tanzania.
1. Watu kushindwa kufikiri kidhahania (abstract thinking). Mada inaweza kuwa na maana sana in the abstract, wao wanaondoka kwenye abstract topic wanakuja kwenye actual.
2. Watu kuacha kujadili mada ya msingi na kujadili mfano uliotolewa katika mada. Umetoa namba ya Sh 500m. Watu wameshindwa kuichukulia namba hiyo kama mfano na kufanya abstract exercise ya biashara kubwa kwenye hiyo range/tax bracket. Wameifanya hiyo namba kuwa ndiyo topic.
3. Watu kufanya logical fallacies, mfano, kuacha kujadili mada, na kumjadili mtoa mada (ad hominem attack). Wameshindwa hata kushauri kwa caveat "if at all this is legit...". Tanzania tunaenda na "guilty until proven innocent" instead of "innocent until proven guilty".
Nilimueleza mtu hapo juu kwamba kama unayo hiyo hela au huna si kitu muhimu, kitu muhimu ni hoja uliyoianzisha kuwa, ukiwa na hiyo pesa unaweza vipi kupata ushauri kuhusu jinsi ya kuiwekeza?
Rubbish, nonsense.Nilitegemea hizi comment ndio maana sijataka kusema kwanini nawahitaji, inshort tu ni kwamba hata akija winga nitamjua maana simhitaji for shortcall lazima niwasliane nae na ikiwezekana tufahamiane kabisa. Any way sihitaji kwenda far to my point ila nahisi nimejieleza kuwa hao ndio watu wenye atleast expossure ya ninachohitaj kukijua, kwa hiyo kama unataka nijielezee ndio kitu siwezi kukifanya ndio maana nikasema atakaewiwa sio wote.
Tatzo b0ngo ujuaji mwingi hata km hujapewa picha tayari ushatunga sentensi,
Mkuu PhD means PULL HIM DOWN. ko siwezi kujibizana na asili kikubwa nakuombea go aheadRubbish, nonsense.
Nipo hapaHabari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,
Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,
Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,
Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.