Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

Mie hata smartphone tu sina ila kitochi cha itel. Kumbe jf kuna matajiri aise
 
Na kuamini,Kuna Mtu namjua ni member humu sidhani hata kama 500 imefika ila yupo vizuri kibiashara yaani kukuta humu comment yake ni baada ya miezi SITA...ila sie kina nikopeshe aftatu Sasa🤣🤣🤣🤣
90% ya mabossi naojuana nao [wafanyabiashara au mawakili sio waajiriwa] hawatumii JF, hata izo social networks zingine kama Facebook zipo tu kwenye simu kama pambo hawazifungui maana simu zenyewe wanazotumia ni izo tecno sijui infinix au Samsung za bei ndogo unakuta zina matatizo chungu nzima 😅
They're very very occupied
 
Mfanyabishara wa M500 humu huwezi kumkuta yupo busy na kumaintain biashara zake,,humu wapi kuanzia 200 kushuka chini,waajiriwa na jobless
Nikweli kabisa hata muda wa reply humo tunao mchache sana hutukuti online muda wote maybe j/pili kama leo
 
Sure,hata si uongo...yaani kabisa tajiri umwambie njoo PM?🤣🤣🤣🤣🤣hata PM yenyewe haijui ni nini maskini ya Mungu
 
Ukikosa kabisa nitafute PM.
 
Huyu ana sereous illnesse...anataka sifa.

Unafikiri ajui?

Unafikiri ajui kama Jamii Forum 80% wana pretend maisha humu?

Ila mtoa uzi anataka sifa za kijinga.

Full idiot
 
Huyu ana sereous illnesse...anataka sifa.

Unafikiri ajui?

Unafikiri ajui kama Jamii Forum 80% wana pretend maisha humu?

Ila mtoa uzi anataka sifa za kijinga.

Full idiot

Kama hana hizo hela -kitu ambacho hatujahakikisha bado - angeweka wazi tu kwamba this is an abstract exercise.

Ikiwa hivyo, mpe maksi zake hata kwa kuota vizuri tu mkuu.

Ujue mtu akianza kuota kushika hela na kuangalia jinsi ya kuzitumia, siku akipata angalau atakuwa na idea nini cha kufanya.

Mimi napenda mambo ya urban planning, mara nyingine huwa nafikiria tu ningekuwa na uwezo wa kujenga mji from scratch ningefanya nini, ningechagua wapi, ningetumia nishati gani ya kisasa, matatizo ya uharibifu wa mazingira ningeyaepuka vipi, ningehakikisha vipi matumizi mazuri ya ardhi, usafiri wa pamoja ningeuboresha vipi, viwanja vya michezo na parks ningeweka vipi, ningehamasisha vipi uendeshaji wa baiskeli na kuweka njia za baiskeli barabarani, ningebalance vipi ujengaji wa maghorofa ili kutumia ardhi vizuri na kuepuka matatizo ya population density, ningevutia vipi watu waje, mambo ya utamaduni na makumbusho ningeyaweka vipi, ningefanya vipi ili mji ujitosheleze kwa chakula bila kutoa chakula mbali, mambo meengi kama hayo.

Kama mental exercise tu kufikiria kitu ninachopenda.

Hilo halimaanishi nitajenga hata kijiji.
 
Sahihi umesema kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…