Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mkoa gani bossEbwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya.
Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
iPhone X 64 GB Premium used ipo mkuu
View attachment 2340986
View attachment 2340987
View attachment 2340988
Bei yake ni 550,000 TZS
NO EXCHANGE
Kwa dar nakuletea ulipo : nicheki whatsapp or nipigie : 0764081567
NakaziaMtoa mada katika kitu usifanye ni kutrade in simu yako. Nina mfano (kisa):
Nilikua na iPhone 8 nimenunua duka flani Makumbusho na risiti/wallanty yao ninayo. Waliniuzia 550. Baada ya miezi 6 hivi nikarudi kwao nikataka nitrade wanipe iPhone 11. Wakaicheki wakasema niongeze Laki 9 nipate GB64 nikauliza kwani nikisema nitoe cash bei gani wakasema Mil 1.05 (Mil 1 na elfu 50).
Kwahiyo wameivalue kwa Tsh laki 1.5 simu yangu.
Nikisema nitakuja. Nikatafuta namba nyingine nikawapigia nikasema nataka simu, used, iPhone 8 nyeusi GB64 (kama yangu) wakasema ipo used best condition BH96% kwa Laki 4 mwisho kabisa 350k.
Nikasema nakuja dukani. Dakika 10 mbele wakanipigia kwenye ile namba nyingine ambayo nilipiga ninavoenda kutradein wakasema vipi kuhusu tradein? Kama vipi njoo tuinunue simu yako (i8) hafu wewe utakua unalipa kidogo kidogo iyo laki 9.
Hitimisho: Niliamuaga tu kununua iPhone 11 hafu ile 8 nikampa dogo.
Yaani tradein ni biashara ya kifala haijawahi tokea