NAHITAJI IST 1290 cc

NAHITAJI IST 1290 cc

Bangila

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
117
Reaction score
147
Mmiliki wa gari aina ya Toyota IST mwenye shida na fedha ya haraka, namba zinazonzia
DP..DQ..DR....DS...na kuendelea anicheki inbox bajeti yangu ni Tsh.8.5mil.

images (1).jpeg

Tafadhali madalali habari ya kuambiana fedha yangu ndogo au kukatisha tamaa tuache pembeni
 
Shukuru Mungu Mkuu kwa ulichonacho. Wengine hawajapata hata baiskeli.
Hahaha naona umebadili kauli ya ukute sina hata baiskeli....... Hakuna anaekuonea wivu kwa ki ist zaidi tunakupa hasira na ww umiliki maunyama sio lazima yawe latest ila zipo ndinga za kiume. Ukiona mwanaume anatamani gari zenye low fuel consuption au anatamani vigari vya wadada kuna tatizo kubwa hapo
 
Kila mtu ana vipaumbele vyake mkuu....
 
Back
Top Bottom