Kwani kuna iSt ya mwaka 2017?Hiyo pesa ni kubwa utapata mapema sana
Bima kubwa sio ndani ya miaka mitano mkuu?Nimetaja mwaka wa usajili na sio Year of Manufacture, Gari ikiwa imesajiriwa hapa Tanzania ndani ya miaka 10 ilopita unaweza kukatia bima kubwa. Namimi siwezi kumiliki gari ambayo siwezi kuikatia bima kubwa.