NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Kumbe choo kinaitwaga body.Za saa hizi mkuu.Tafuta hela wewe,body spray ni kw ajili ya matumuzi ya chooni.
Naionaga onaga ila sijawhi kuitumiaaa vipi nayo ipo mjema na bei yake IkojeNgoja waje wajuaji..ila mimi natumia FOGG simple tu..
Hivi hizi bei umepatia?Kati ya 10,000 hadi 15,000 hapo...
Hizo ni imports mostly from UK, Dubai na US
Mkuu mbona hiyo ni cool power na si cool water angalia vzrHivi hizi bei umepatia?
10,000 mpaka 15,000?
Nikiangalia location ulipoelekeza, nikiangalia package halafu cool water ni tamu mno sidhani kama ni bei hiyo.
Hivi kwa bei hiyo ni katika ujazo gani 10mls au 30mls
hahahaTafuta hela wewe,body spray ni kw ajili ya matumuzi ya chooni.
Hivi kwa bei hiyo ni katika ujazo gani 10mls au 30mls
Acha ushamba wewe kuna sehemu nimesema choo ni body? "body spray ni kwa ajili ya matumizi ya chooni" au we ndo Hakika Ruben?Kumbe choo kinaitwaga body.Za saa hizi mkuu.
Ukoo wenu huwa hamtanianagi.Acha ushamba wewe kuna sehemu nimesema choo ni body? "body spray ni kwa ajili ya matumizi ya chooni" au we ndo Hakika Ruben?
Hivi elegance mawasiliano ya hata kama contact address media za fb kama itawezekana mkuu nisogezeeEleganceExpress maeneo ya Kijitonyama, ilipo petrol station ya Barrel makutano ya Kijenge Rd na Mabatini Rd...
Pia kuna jamaa wanaitwa Homecollectionz, wapo town maeneo ya ilipokuwa DTV zamani mtaa wa Sewa...
Hivi elegance mawasiliano ya hata kama contact address media za fb kama itawezekana mkuu nisogezee
Wanatumia jina gani InstagramSina namba zao za simu mkuu, ni mahali huwa napita mara kwa mara...
Labda watext instagram kama una akaunti...
Instagram wanatumia jina gani hao eleganceSina namba zao za simu mkuu, ni mahali huwa napita mara kwa mara...
Labda watext instagram kama una akaunti...
Instagram wanatumia jina gani hao elegance
Global man imepoa sanaa, halafu haitoboi masaa 12,chukua global man au elope ... utanishukuru ..au beba zote