Nahitaji jina la Body spray kali

Nahitaji jina la Body spray kali

Kati ya 10,000 hadi 15,000 hapo...

Hizo ni imports mostly from UK, Dubai na US
Hivi hizi bei umepatia?
10,000 mpaka 15,000?
Nikiangalia location ulipoelekeza, nikiangalia package halafu cool water ni tamu mno sidhani kama ni bei hiyo.
 
Hivi hizi bei umepatia?
10,000 mpaka 15,000?
Nikiangalia location ulipoelekeza, nikiangalia package halafu cool water ni tamu mno sidhani kama ni bei hiyo.
Mkuu mbona hiyo ni cool power na si cool water angalia vzr
 
Hivi hizi bei umepatia?
10,000 mpaka 15,000?
Nikiangalia location ulipoelekeza, nikiangalia package halafu cool water ni tamu mno sidhani kama ni bei hiyo.

Bei ipo sawa kabisa amu ,mimi ni mdau wa hayo maduka...

Btw nimekukosa sana...upo poa?
 
EleganceExpress maeneo ya Kijitonyama, ilipo petrol station ya Barrel makutano ya Kijenge Rd na Mabatini Rd...

Pia kuna jamaa wanaitwa Homecollectionz, wapo town maeneo ya ilipokuwa DTV zamani mtaa wa Sewa...
Hivi elegance mawasiliano ya hata kama contact address media za fb kama itawezekana mkuu nisogezee
 
Hivi elegance mawasiliano ya hata kama contact address media za fb kama itawezekana mkuu nisogezee

Sina namba zao za simu mkuu, ni mahali huwa napita mara kwa mara...

Labda watext instagram kama una akaunti...
 
Back
Top Bottom