Unatoka wapiHabari za leo wadau,
Naomba kujua kampuni au mtu amabe anaweza kusafirisha mizigo/vitu vya ndani (kabati, friji, kitanda, sofa na vingine vidogo vidogo) hadi Dodoma.
Kama yupo naomba anicheck PM wakuu.
Nitashukru sana.
Jumapili Njema
Mkuu nenda pale jangwani au pia nenda Gerezani. Huwa kuna Mafuso ya kufunga mizigo kwenda mikoa yote Tz so jamaa watakusaidia. Vitu vyako vyote vinaweza kukughalimu kama laki 50 maana masofa yanakaa vibaya na yanakula spaceNatokea Dar mkuu
0655559901 mcheck jamaa ofisi yao ipo mwembechai nyuma ya msikiti watakusafirishia kwa Bei nzuri na harakaHabari za leo wadau,
Naomba kujua kampuni au mtu amabe anaweza kusafirisha mizigo/vitu vya ndani (kabati, friji, kitanda, sofa na vingine vidogo vidogo) hadi Dodoma kutokea Dar.
Kama yupo naomba anicheck PM wakuu.
Nitashukru sana.
Jumapili Njema
Mkuu nenda pale jangwani au pia nenda Gerezani. Huwa kuna Mafuso ya kufunga mizigo kwenda mikoa yote Tz so jamaa watakusaidia. Vitu vyako vyote vinaweza kukughalimu kama laki 50 maana masofa yanakaa vibaya na yanakula space
Bila samahani mkuu, nivyema ukaanzisha uzi wenye heading ya kile ulicho kusudia. Kisha weka maudhui ya kuhusu uhitaji wako kwa kinaSamahani wakuu, na mm nauliza vipi kuhusu kusafirisha kutoka moro kwenda Mtwara?