Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
Acha tu, watanzania tuna matatizo sana,Makirita Amani kumbe na wewe umepigwa na waswahili wazee wa dili.Hahahahaha
Mie nakushauri wewe mwenyewe kama mshauri unaweza kuanzisha Kampuni hiyo,maana utakuwa tayari na wateja wako mwenyewe,kwahiyo mteja ataanzia kwako na kumalizikia kwako.
Yapo Makampuni mengi tu kwa wenzetu yanavitengo vyote hivyo.