Nahitaji Kampuni ya kusajili Kampuni

Nahitaji Kampuni ya kusajili Kampuni

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
Nahitaji kampuni ya kuweza kushirikiana nayo kwa ajili ya kusajili kampuni za wateja wangu ninaowashauri kwenye biashara zao.Sitaki mtu binafsi kwa sababu nimefanya kazi kadhaa na watu binafsi ni wasumbufu na uswahili mwingi.

Kama una kampuni na unaweza kufanya kazi nzuri kwa kutimiza yale unayoahidi tuwasiliane.Mawasiliano yangu 0717396253 email amakirita@gmail.comTukiwasiliana unipe kabisa breakdown ya gharama zote za usajili wa limited company.

Karibu
 
muone huyu busiminet atakusaidia ashawafanyia watu wengi ni kampuni hiyo yupo umu pia
 
Last edited by a moderator:
Makirita Amani kumbe na wewe umepigwa na waswahili wazee wa dili.Hahahahaha

Mie nakushauri wewe mwenyewe kama mshauri unaweza kuanzisha Kampuni hiyo,maana utakuwa tayari na wateja wako mwenyewe,kwahiyo mteja ataanzia kwako na kumalizikia kwako.
Yapo Makampuni mengi tu kwa wenzetu yanavitengo vyote hivyo.
 
Acha tu, watanzania tuna matatizo sana,
Sio kwamba nimepigwa ila watu ni waongo sana. Anakuahidi baada ya wiki mambo yatakuwa tayari inakuchukua hata wiki tatu. Huku wewe umeshamwahidi mteja kwamba atapata kampuni yake soon.
Ni kweli naweza kufanya hivyo ila napenda zaidi ku outsource kitu ambacho mwingine anaweza kufanya vizuri ili mimi niconcentrate kwenye vile ninavyofanya kwa ubora.
 
Asanteni wote mliorespond kwa simu na email.
Tayari nimepata kampuni ya kufanya nao kazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom