Nahitaji Kampuni ya Ushauri wa Uongozi wa Hotel (Hotel Management Consultation)

Nipo mtaalamu wa Hotels Management kwa zaidi ya miaka 10 sasa,naweza kuwa consultant pia,ukiwa interesting njoo PM.
Uandishi tu unaonesha kwamba wewe mwenyewe unahitaji consultant.
Angalizo:Anaekuja na pendekezo aje na Jina la kampuni rasmi na sio kanjanja.
Maana next move ni kwenda ofisini kwake
NO PMS
Wale wafanyakazi wa mahoteli wanaochomekea hapa,wapotee na njaa zao,maana watakuwa hawajelewa kinachohitajika hapa.
Kama ni kufanya kazi mahotelini mie nina miaka 15.

Kinachohitaki hapo ni Hotel Management Consultancy Company
 
Wakuu hembi nipeni Kampuni bora ya mambo ya Hotel Management Consultation.

Sina kampuni ila utapotaka kuwa online based, making your site as booking channel utaniambia.
Sina kampuni, ila nafanya kama independent freelancer. Npo kwenye hii online travel industry for more than a year now.
Take a look on my profile.
http://bit.do/directbookings
 
Uandishi tu unaonesha kwamba wewe mwenyewe unahitaji consultant.
Angalizo:Anaekuja na pendekezo aje na Jina la kampuni rasmi na sio kanjanja.
Maana next move ni kwenda ofisini kwake
NO PMS
Wale wafanyakazi wa mahoteli wanaochomekea hapa,wapotee na njaa zao,maana watakuwa hawajelewa kinachohitajika hapa.
Kama ni kufanya kazi mahotelini mie nina miaka 15.

Kinachohitaki hapo ni Hotel Management Consultancy Company

Kwataarifa yako kwa TAnzania, navyojua hakuna kampuni kubwa inayoshughulika na mambo ya hotel kwenye eneo la ushauri............kwa uandishi wako inaelekea wewe ni jeuri na maringo ni nature yako.......kwanini usingemsikiliza sasa huyo mdau???????then ndo u mhukumu??????? tambua kwa lugha uliyotumia kwa huyu bwana ni ngumu saana, kupata msaada. binafsi nauwezo wa kukulink na watu ambao najua wamebobea kwenye hilo eneo na wamefanya ushauri kwa mahoteli makubwa hapo TZ zikiwemo serena, holiday inn, southern sun etc lakini siwezi kufanya hivyo kwani hawataki mazarau hata kidogo

Kila la kheri
 
Hili ni Jukwaa la biashara,na kawaida ya wafanya biashara "genuine" huwa wana sikiliza wadau na kisha kufanya maamuzi,sijakulazimisha kufanya kazi na mimi na wala sijakuomba pesa,sula la PM ni moja ya njia sahihi ya mawasiliano.Any way inaonekana wewe ni mwalimu wa ujuaji,HONGERA!!

Elewa mimi ni zaidi ya mfanya kazi wa hoteli.

Uandishi tu unaonesha kwamba wewe mwenyewe unahitaji consultant.
Angalizo:Anaekuja na pendekezo aje na Jina la kampuni rasmi na sio kanjanja.
Maana next move ni kwenda ofisini kwake
NO PMS
Wale wafanyakazi wa mahoteli wanaochomekea hapa,wapotee na njaa zao,maana watakuwa hawajelewa kinachohitajika hapa.
Kama ni kufanya kazi mahotelini mie nina miaka 15.

Kinachohitaki hapo ni Hotel Management Consultancy Company
 
Kwataarifa yako kwa TAnzania, navyojua hakuna kampuni kubwa inayoshughulika na mambo ya hotel kwenye eneo la ushauri............kwa uandishi wako inaelekea wewe ni jeuri na maringo ni nature yako.......kwanini usingemsikiliza sasa huyo mdau???????then ndo u mhukumu??????? tambua kwa lugha uliyotumia kwa huyu bwana ni ngumu saana, kupata msaada. binafsi nauwezo wa kukulink na watu ambao najua wamebobea kwenye hilo eneo na wamefanya ushauri kwa mahoteli makubwa hapo TZ zikiwemo serena, holiday inn, southern sun etc lakini siwezi kufanya hivyo kwani hawataki mazarau hata kidogo

Kila la kheri

Hongera mkuu,lakini location yako yenyewe kwenye profile inaitwa DILI

Maana hata hili watu wanatakla kupiga issue
Mliokuja PM naomba mchomoke huko,hakuna jibu mtalopata
 
Mkuu
yaelekea hauko serious
maelezo yako yanaashiria hilo
umesoma Geography??????????? kuna nchi inaitwa EAST TIMOR.............Mji wake mkuu unaitwaje.......ndio wengine tunakoishi...tambua pameandikwa DILI......ET maana yake East Timor
 
Back
Top Bottom