Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Wakuu embu nipeni Kampuni bora ya mambo ya Hotel Management Consultation.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hembi nipeni Kampuni bora ya mambo ya Hotel Management Consultation.
Uandishi tu unaonesha kwamba wewe mwenyewe unahitaji consultant.Nipo mtaalamu wa Hotels Management kwa zaidi ya miaka 10 sasa,naweza kuwa consultant pia,ukiwa interesting njoo PM.
Wakuu hembi nipeni Kampuni bora ya mambo ya Hotel Management Consultation.
Uandishi tu unaonesha kwamba wewe mwenyewe unahitaji consultant.
Angalizo:Anaekuja na pendekezo aje na Jina la kampuni rasmi na sio kanjanja.
Maana next move ni kwenda ofisini kwake
NO PMS
Wale wafanyakazi wa mahoteli wanaochomekea hapa,wapotee na njaa zao,maana watakuwa hawajelewa kinachohitajika hapa.
Kama ni kufanya kazi mahotelini mie nina miaka 15.
Kinachohitaki hapo ni Hotel Management Consultancy Company
Uandishi tu unaonesha kwamba wewe mwenyewe unahitaji consultant.
Angalizo:Anaekuja na pendekezo aje na Jina la kampuni rasmi na sio kanjanja.
Maana next move ni kwenda ofisini kwake
NO PMS
Wale wafanyakazi wa mahoteli wanaochomekea hapa,wapotee na njaa zao,maana watakuwa hawajelewa kinachohitajika hapa.
Kama ni kufanya kazi mahotelini mie nina miaka 15.
Kinachohitaki hapo ni Hotel Management Consultancy Company
Wakuu embu nipeni Kampuni bora ya mambo ya Hotel Management Consultation.
Kwataarifa yako kwa TAnzania, navyojua hakuna kampuni kubwa inayoshughulika na mambo ya hotel kwenye eneo la ushauri............kwa uandishi wako inaelekea wewe ni jeuri na maringo ni nature yako.......kwanini usingemsikiliza sasa huyo mdau???????then ndo u mhukumu??????? tambua kwa lugha uliyotumia kwa huyu bwana ni ngumu saana, kupata msaada. binafsi nauwezo wa kukulink na watu ambao najua wamebobea kwenye hilo eneo na wamefanya ushauri kwa mahoteli makubwa hapo TZ zikiwemo serena, holiday inn, southern sun etc lakini siwezi kufanya hivyo kwani hawataki mazarau hata kidogo
Kila la kheri
Hongera mkuu,lakini location yako yenyewe kwenye profile inaitwa DILI
Maana hata hili watu wanatakla kupiga issue
Mliokuja PM naomba mchomoke huko,hakuna jibu mtalopata