Nahitaji karanga kwa wingi

Karanga aina gani?
Za maganda au zilizobanguliwa tayari?
Unanunua kwa bei gani
 
Unataka Karanga nyeupe,nyekundu au nyeusi au za bluu?
Sema utakacho na unanunua kwa bei gani kwa kilo na upo tayari kuja huku shamba kuchukua mwenyewe au hadi uletewe Dasalama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…