Munishi1698
Member
- Mar 25, 2021
- 59
- 108
Ulimaliza Nini kpnzNdugu zangu habarini,
Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k
Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni ndugu zangu mnisaidie ambae ana connection ya kazi anibebe.
Brother, siku hizi watu hawachagui Mkoa,ni wazi popote atafanya,hali ngumuHujasema upo wapi??
Kazi zina limit pia na sehemu mtu alipo.Brother, siku hizi watu hawachagui Mkoa,ni wazi popote atafanya,hali ngumu
Ni kweli,Kazi zina limit pia na sehemu mtu alipo.
Mwaka Jana dear
Shoppers supermarket hq ipo dar mikocheni peleka Cv yako last time kuna mtu alipeleka akaambiwa nafasi ipo DomNdugu zangu habarini,